BOOKS BY CATEGORY
Your Account
KIVUKO
Mwongozo wa kuendeshea warsha kuhusu VVU/UKIMWI, pamoja na mbinu za Mawasiliano, Mahusiano, Jinsia na Uhamasishaji
Price
Quantity
€14.64
(To see other currencies, click on price)
Paperback / softback
Add to basket  

MORE ABOUT THIS BOOK

Main description:

Kivuko ni Mwongozo wa mafunzo wenye kitabu na mkanda wa video kuhusu VVU/UKIMWI, maswala ya jinsia na uhamasishaji, mbinu za mawasiliano na mahusiano. Kitabu hiki kimepewa kipaumbele kwa kuwa kinaeleza jinsi wanawake na vijana walivyo katika hatari kutokana na maamuzi wanayofanya kuhusu ngono. KIVUKO kimeundwa kuwasaidia wakufunzi na wanajamii kuendesha warsha ili kuwawezesha wanawake na wanaume kutafiti mahitaji yao ya kijamii, kingono na kisaikolojia; pia kusaidia kuchambua ugumu wa mawasiliano na kujizoesha njia mbalimbali za mawasiliano. Kwa ujumla warsha za Kivuko zinalenga kubadili tabia. Kitabu hiki kinaeleza jinsi ya kuendesha warsha na kina mazoezi mengi yanayohusisha maigizo mafupi pamoja na njia mbalimbali za kujifunza katika vikundi kwa kushirikiana. Vikundi vya warsha vimepangwa katika makundi manne tofauti ya rika kulingana na umri na jinsia. Picha za video ambazo zilichukuliwa Uganda, zimefanywa katika sehemu 15 fupi ambazo zimewekwa makusudi kuwarahisishia washiriki kujadiliana.


Contents:

Utangulizi. Kabla ya kuanza. Maandalizi ya mwisho. Mkutano wa kwanza wa hadhara. Somo A Tuwasiliane. Somo B Ufahamu wetu. Somo C Upendo ni nini. Somo D Dhana zetu. Somo E VVU (HIV). Somo F Kondomu. Upimaji wa virusi vya Ukimwi. Somo G Hiari Zetu. Mkutano wa kwanza wa warsha. Somo H Tutazame kwa kina Sehemu ya I. Somo I Tutazame kwa kina Sehemu ya 2. Somo J Tujimudu. Somo K Tujitetee wenyewe. Somo L Tujibadili wehyewe. Mkutano wa pili wa warsha. Somo M Tushirikiane. Somo N Tujitarishe kwa siku zijazo. Mkutano wa Mwisho wa Hadhara.


PRODUCT DETAILS

ISBN-13: 9781905746255
Publisher: Strategies for Hope Trust
Publication date: March, 2013
Pages: 246
Dimensions: 146.00 x 205.00 x 12.00
Weight: 279g
Availability: Contact supplier
Subcategories: Public Health

CUSTOMER REVIEWS

Average Rating